ENEO LA 4 kwenye vyumba vya habari. Kuhamia kwenye vyombo vingine vya habari pamoja na kupunguzwa kazi kwa miaka mingi kumepunguza idadi ya waandishi nguli wa habari ambao bado wanajishughulisha na uhandishi wa habari. Mmoja wa washiriki alieleza kwamba kutokana na watu kuwa wachache kwenye vyumba vya habari, ilikuwa ni rahisi kushindwa kuona dosari. Zamani kulikuwepo na waangalizi. Kwa kawaida, habari zilipitia kwa wahariri wa habari, wahariri wasaidizi, wapitiaji, na mpitiaji mkuu na mhariri wa mahudhui kabla ya kuchapishwa. Lakini siku. Alama: Alama za mshiriki mmoja mmoja: 1 Nchi inakidhi kiashiria 2 Nchi inakidhi vipengele vichache tu vya kiashiria 3 Nchi inakidhi vipengele kadhaa vya kiashiria 4 Nchi inakidhi vipengele vingi vya kiashiria 5 Nchi inakidhi vipengele vyote vya kiashiria Wastani wa alama: Alama ya miaka iliyopita: ✓ ✓ ✓✓✓ ✓✓✓✓✓✓✓ 2.7 2006: 2.1; 2008: 2.3; 2010: 3.2; 2012: 3.3; 2015: 2.9 4.2 Vyombo vya habari vinafuata maadili ya hiari ya viwango vya weledi, ambavyo vinatiliwa mkazo na vyombo huru visivyo vya kisheria ambavyo vinashughulikia malalamiko kutoka kwa umma Baraza la Vyombo vya Habari Tanzania (MCT), ambalo ndicho chombo kikuu kinachosimamia maadili ya vyombo vya habari, lina mamlaka-kifani ya kutoa maamuzi. Kwa kawaida, linapokea malalamiko kutoka kwa umma na mara nyingi huyapatia ufumbuzi malalamiko yanayohusiana na vyombo vya habari kabla hayajafika mahakamani. Alama: Alama za mshiriki mmoja mmoja: 1 Nchi inakidhi kiashiria 2 Nchi inakidhi vipengele vichache tu vya kiashiria 3 Nchi inakidhi vipengele kadhaa vya kiashiria 4 Nchi inakidhi vipengele vingi vya kiashiria 5 Nchi inakidhi vipengele vyote vya kiashiria Wastani wa alama: Alama ya miaka iliyopita: 49 ✓✓✓✓✓ ✓ ✓ ✓✓✓✓✓ 4.5 2006: 3.4; 2008: 2.9; 2010: 2.9; 2012: 3.8; 2015: 4.1 KIPIMO CHA VYOMBO VYA HABARI BARANI AFRIKA TANZANIA 2019