ENEO LA 3

Alama:
Alama za mshiriki mmoja mmoja:
1

Nchi inakidhi kiashiria

2

Nchi inakidhi vipengele vichache tu vya kiashiria

3

Nchi inakidhi vipengele kadhaa vya kiashiria

4

Nchi inakidhi vipengele vingi vya kiashiria

5

Nchi inakidhi vipengele vyote vya kiashiria

Wastani wa alama:
Alama ya miaka iliyopita:

✓✓✓
✓

✓✓✓

✓
✓✓✓

✓

2.2
2006: n/a; 2008: n/a; 2010: 1.1; 2012: 3.1; 2015: 2.6

3.3 Chombo kinachodhibiti utangazaji na utoaji
leseni kinafanya hivyo kwa maslahi ya umma na
kuhakikisha haki na mchanganyiko wa mawazo
mapana yanayowakilisha jamii kwa ujumla
Nje na udhibiti, TCRA ina wajibu wa kutoa leseni za utangazaji na kupanga na
kusimamia mawanda ya matangazo ya redio. Leseni ya utangazaji inajumuisha
kibali cha kujenga ‘sehemu ya kurushia matangazo, studio, multiplex headends, uplink earth stations na miundo mbinu yoyote ya kituo cha redio kama
itakavyoelekezwa na mamlaka husika’ na kuthibitisha miundombinu ya
utangazaji (Kifungu cha 7 (1-2)). Washiriki walisema TCRA ‘inajitahidi kwa kadri
ya uwezo wake kutoa leseni’ ingawa mchakato unakuwa mrefu sana. Kwa mara
ya mwisho, leseni zilitolewa mwaka 2015.

Alama:
Alama za mshiriki mmoja mmoja:
1

Nchi inakidhi kiashiria

2

Nchi inakidhi vipengele vichache tu vya kiashiria

3

Nchi inakidhi vipengele kadhaa vya kiashiria

4

Nchi inakidhi vipengele vingi vya kiashiria

5

Nchi inakidhi vipengele vyote vya kiashiria

Wastani wa alama:
Alama ya miaka iliyopita:

42

✓
✓✓✓

✓

✓✓✓✓✓✓✓

3.3
2006: 3; 2008: 2.8; 2010: 3.4; 2012: 3.5; 2015: 3.2

KIPIMO CHA VYOMBO VYA HABARI BARANI AFRIKA TANZANIA 2019

Select target paragraph3