ENEO LA 2

Alama:
Alama za mshiriki mmoja mmoja:
1

Nchi inakidhi kiashiria

2

Nchi inakidhi vipengele vichache tu vya kiashiria

3

Nchi inakidhi vipengele kadhaa vya kiashiria

4

Nchi inakidhi vipengele vingi vya kiashiria

5

Nchi inakidhi vipengele vyote vya kiashiria

Wastani wa alama:
Alama ya miaka iliyopita:

✓

✓

✓

✓

✓
✓

✓✓✓

✓

✓✓

4.1
2006: n/a; 2008: n/a; 2010: 3.6 ; 2012: 3.3; 2015: 3.5

2.12 Serikali haitumii nguvu yake dhidi ya urushaji
wa matangazo ya biashara kama njia ya kuzuia
maudhui ya kiuhariri
Kwa maelezo ya washiriki, serikali inatumia mamlaka yake kuhusu urushaji
wa matangazo ili kuzuia maudhui ya kiuhariri. Sheria ya Vyombo vya Habari
inamweka Mkurugenzi wa Idara ya Habari (DIS) kuwa msimamizi wa matangazo
ya serikali. Washiriki walisema kwamba hali hii husababisha mgongano wa
kimaslahi kwa vile DIS pia anawajibika kuratibu taarifa za serikali, kufanya
mikutano na waandishi wa habari kwa niaba ya serikali na kufungia magazeti.
Washiriki walisema haina shaka kwamba matangazo ya serikali yanaenda zaidi
kwenye vyombo vya habari vinavyomilikiwa na serikali na kwa kiasi kidogo
sana kwa vyombo vinavyoikosoa serikali- kama vile magazeti yaliyo na mrengo
wa upinzani. Baada ya kuona msimamo wa serikali, washiriki walisema wenye
matangazo binafsi wamesita kupeleka matangazo kwenye vyanzo vya habari
makini.

Alama:
Alama za mshiriki mmoja mmoja:22
1

Nchi inakidhi kiashiria

2

Nchi inakidhi vipengele vichache tu vya kiashiria

3

Nchi inakidhi vipengele kadhaa vya kiashiria

4

Nchi inakidhi vipengele vingi vya kiashiria

5

Nchi inakidhi vipengele vyote vya kiashiria

Wastani wa alama:
Alama ya miaka iliyopita:

✓
✓✓✓

✓

���
✓

✓✓✓
✓

✓

3.0
2006: 2.4; 2008: 2; 2010: 2.1; 2012: 2.2; 2015: 1.6

22 Tofauti katika alama inaweza kuwa imetokana na uelewa dhaifu wa kiashiria na jinsi ya kuamua alama. Mjadala ulionesha
kwamba kwa ujumla Tanzania haikufanya vema katika kiashiria hiki.

38

KIPIMO CHA VYOMBO VYA HABARI BARANI AFRIKA TANZANIA 2019

Select target paragraph3