ENEO LA 2 kupata gigabaiti moja ya data, washiriki walisema kwamba gharama hiyo ilikuwa bado juu kwa wananchi walio wengi. Kwa muhtsari, Tanzania ina wigo mpana wa vyanzo vya habari, lakini upatikanaji wa vyanzo hivi mara nyingi umeathiriwa na gharama, teknolojia na miundombinu. Alama: Alama za mshiriki mmoja mmoja: 1 Nchi inakidhi kiashiria 2 Nchi inakidhi vipengele vichache tu vya kiashiria 3 Nchi inakidhi vipengele kadhaa vya kiashiria 4 Nchi inakidhi vipengele vingi vya kiashiria 5 Nchi inakidhi vipengele vyote vya kiashiria Wastani wa alama: Alama ya miaka iliyopita: ✓✓ ✓ ✓✓ ✓ ✓✓✓ ✓✓ ✓ 3.5 2006: 2.9; 2008: 2.8; 2010: 3; 2012: 3.3; 2015: 3.6 2.2 Upatikanaji wa vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi kwa wananchi hauzuiliwi na mamlaka za serikali Upatikanaji wa vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi uko wazi na hauna vizingiti Tanzania. Washiriki walisema kulikuwa na wigo mpana wa magazeti ya nje katika mzunguko na wananchi wanaweza kupata matangazo ya nje kupitia satelaiti na mkongo. Alama: Alama za mshiriki mmoja mmoja: 1 Nchi inakidhi kiashiria 2 Nchi inakidhi vipengele vichache tu vya kiashiria 3 Nchi inakidhi vipengele kadhaa vya kiashiria 4 Nchi inakidhi vipengele vingi vya kiashiria 5 Nchi inakidhi vipengele vyote vya kiashiria Wastani wa alama: Alama ya miaka iliyopita: 30 ✓✓✓ ✓ ✓✓ ✓ ✓✓ ✓ ✓✓ 4.8 2006: 3.1; 2008: 4.1; 2010: 3.8; 2012: 4.3; 2015: 4.7 KIPIMO CHA VYOMBO VYA HABARI BARANI AFRIKA TANZANIA 2019