Vifupisho vya Maneno
AMB:
BBC:
BRELA:
CORI:
CSO:
DED:
DIS:
EACJ:
EACSOF:
FOI:
TEHAMA:
IFJ:
JOWUTA:
LGBTQIA+:
LHRC:
MCT:
MLDI:
MISA:
MUM:
NBS:
NEC:
NGO:
OUT:
SAUT:
SIM:
TADIO:
TAMWA:
TASWA:
TBC:
TCRA:
TEF:
THRDC:
TMF:
TRA:
TZS:
UDSM:
UNESCO:
UTPC:
US$:

5

Kipimo cha Vyombo vya Habari Barani Afrika
Shirika la Utangazaji la Uingereza
Wakala wa Usajili wa Biashara
Shirikisho la Uhuru wa Habari
Muungano wa Taasisi za Kiraia
Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya
Mkurugenzi wa Idara ya Habari
Mahakama ya Afrika Mashariki
Jukwaa la Taasisi za Kiraia Afrika Mashariki
Uhuru wa Habari
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
Shirikisho la Kimataifa la Waandishi wa Habari
Umoja wa Wafanyakazi Waandishi wa Habari Tanzania
Jumuiya ya Wasagaji, mashoga, na watu wenye tabia za jinsia mbili
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu
Baraza la Vyombo vya Habari Tanzania
Shirika la Utetezi wa Kisheria kwa Vyombo vya Habari
Taasisi ya Vyombo vya Habari kusini mwa Afrika
Chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro
Ofisi ya Taifa ya Takwimu
Tume ya Taifa ya Uchaguzi
Shirika lisilo la Kiserikali
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine Tanzania
Moduli ya Utambulisho wa Mtumiaji
Chama cha Taarifa za Maendeleo Tanzania
Umoja wa Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania
Umoja wa Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania
Shirika la Utangazaji Tanzania
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
Jukwaa la Wahariri Tanzania
Muungano wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania
Taasisi ya Vyombo vya Habari Tanzania
Mamlaka ya MapatoTanzania
Shillingi za Kitanzania
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni
Umoja wa Kilabu za Vyombo vya Habari Tanzania
Dola ya Kimarekani

KIPIMO CHA VYOMBO VYA HABARI BARANI AFRIKA TANZANIA 2019

Select target paragraph3