Imechapishwa na:
Friedrich-Ebert-Stiftung (FES)
fesmedia Africa
Windhoek, Namibia
Simu: +264 61 417523
Barua pepe: info@fesmedia.org
Tovuti: www.fesmedia-africa.org
© Kazi hii imeidhinishwa chini ya the Creative Commons’ Attribution-NonCommercial –
ShareAlike 2.5 Licence.
ISBN: 978-99945-77-84-2
Mauzo au matumizi ya kibiashara ya machapisho yote ya Friedrich-Ebert-Stiftung (FES) na
yale ya Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) yamezuiliwa; isipokuwa
kwa idhini ya kimaandishi kutoka kwa FES na MISA.
Kipimo cha Vyombo vya Habari Barani Afrika, ambacho kwa lugha ya Kiingereza
kinajulikana kama 'The African Media Barometer (AMB), ni kipimo cha kimtazamo.
Matokeo, tafsiri na mahitimisho yanayowasilishwa ni yale yanayotolewa na wanajopo
wanaotokana na asasi za kiraia na taasisi za vyombo vya habari kwa lengo la kutathmini
vyombo vya habari; na hivyo haimaanishi kwamba ndio mtazamo na maoni ya fesmedia
Africa, Friedrich-Ebert-Stiftung (FES) Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika
(MISA).

Select target paragraph3